Home > Terms > Swahili (SW) > laha ya mtindo wa kutekeleza (CSS)

laha ya mtindo wa kutekeleza (CSS)

Laha ya mtindo wa kutekeleza ni mpangilio wa sheria zinazobainisha jinsi kivinjari cha wavuti huonyesha matini kwenye ukurasa wa HTML. Faida za CSS badala ya uumbizaji wa GTML zi kama ifuatavyo: *Mtindo hudhibitiwa katika eneo moja la kati, na mabadiliko huwekwa kiotomatiki kwa kurasa zote za HTML.

  • Hutoa mgawanyo mzuri wa matini na tagi za uumbizaji na kuifanya rahisi kwa ajili ya kutafsiri yaliyomo katika lugha zingine.
  • Ukubwa wa faili wa kila ukurasa wa HTML ni ndogo zaidi (wakati mwingine kwa asilimia 50 au zaidi) Kwa hivyo, nyaraka zinaweza kupakia haraka zaidi.
  • Ufikivu huimarishwa
0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Culture Category: Popular culture

Mpendwa Abby

Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...